kananura result 2020
[ NEW ] : KANANURA SCHOOLS YAFAULISHA WANAFUNZI WOTE 2020
Education is my right
[ NEW ] : KANANURA SCHOOLS YAFAULISHA WANAFUNZI WOTE 2020
Shule ni ya Bweni na Kutwa kwa ngazi zote, Chekechea, Msingi na Sekondari. Tunapokea Wanafunzi Kutoka Mikoa Yote ya Tanzania. Tunapokea wanafunzi wa Jinsia zote na Imani zote.