Tunatoa elimu ya awali/chekechea kwa watoto kuanzia miaka minne hadi sita. Mafunzo yanatolewa kwa lugha ya kiingereza.
PRIMARY SCHOOL
Tunatoa elimu ya shule ya msingi kuanzia Darasa la kwanza hadi la saba. Nafasi za Kujiandikisha na Kuhamia zipo.
SECONDARY SCHOOL
Tunatoa elimu ya Sekondari kuanzia Kidato cha kwanza hadi kidato cha nne. Nafasi za Kujisajili na Kuhamia zipo.
Shule ni ya Bweni na Kutwa kwa ngazi zote, Chekechea, Msingi na Sekondari. Tunapokea Wanafunzi Kutoka Mikoa Yote ya Tanzania. Tunapokea wanafunzi wa Jinsia zote na Imani zote.
FOMU ZA KUJIUNGA NA MASOMO
CHEKECHEA NA MSINGI
Fomu hii ni ya Kujiunga na Chekechea na Shule ya Msingi, Bonyeza Download Kupakua Fomu