KARIBU KANANURA SCHOOLS

NAFASI ZA MASOMO 2021

CHEKECHEA, MSINGI NA SEKONDARI

Shule za Kananura zilizopo Kivule, Ilala jijini Dar es Salaam zinakutangazia nafasi za kujiunga na masomo ya Chekechea, Shule ya Msingi na Sekondari kwa Mwaka 2021.

 

 

Nafasi zipo kwa wanaoanza masomo na wanaohamia. Shule ni ya Bweni na Kutwa na ada zetu ni nafuu sana.

 

 

Shule imeshika nafasi ya kwanza kiwilaya (Ilala) na ya Pili kimkoa (Dar es Salaam) katika matokeo ya Darasa la Nne na Darasa la Saba kwa Mwaka 2018 na 2019.

 

Shule zetu zinapokea wanafunzi wa jinsia zote (kike na kiume) na dini zote. Mandhari ya shule ni tulivu na rafiki kwa wanafunzi kujifunza na kujisomea.

 

 

Walimu wetu wameandaliwa kwa uweledi na maadili kwa ajili ya kumpatia kijana wako elimu bora na malezi bora yenye maadili. Pia shule ni English Medium hivyo masomo yanafundishwa kwa kutumia lugha ya Kiingereza.

 

 

Ada zetu  ni nafuu na unaruhusiwa kulipa hadi AWAMU NNE. Angalia Mchanganuo wa ada hapa chini.

1. MCHANGANUO WA GHARAMA KWA SHULE YA CHEKECHEA NA MSINGI

ADA SHULE YA MSINGI KANANURA

2. MCHANGANUO WA GHARAMA KWA SHULE YA SEKONDARI

KANANURASCHOOL SEC

Mwanafunzi atapatiwa vitu  na huduma zifuatazo bila ya malipo ya ziada:-

School Diary
Pesa za Computer Maintenance
Matibabu yasiyozidi 20,000/=
Ream 2 za karatasi
Huduma ya Kwanza
Kitambulisho
Pesa ya Usajiri
Pesa ya Tahadhari
Continous Assessment Form
Uniform: Shati 2, Tai 1; Sweta; Sketi 2(wasichana) Suruali 2 (wavulana)
Pesa ya Graduation ya mwaka mmoja
Oxford Student’s Dictionary
Visiting Card

KANANURA SCHOOLS
VYUMBA VYA MADARASA
SCHOOL BUS 2021
SHULE INA USAFIRI KWA WANAFUNZI WA KUTWA

WAHI KUJAZA FOMU KABLA NAFASI HAZIJAJAA

0754815884